Maombi yote yafikishwe katika ofisi zetu Kawe au yatumwe kwa njia ya posta P.O Box 72385
Dar es salaam au kwa njia ya barua pepe info@kiwangosecurity.com / kiwangos@yahoo.com, zingatia viambatanisho husika tafadhari.
Dar es salaam au kwa njia ya barua pepe info@kiwangosecurity.com / kiwangos@yahoo.com, zingatia viambatanisho husika tafadhari.
SECURITY GUARD (10)
1. Elimu isiyopungua darasa la saba
2. Awe amepitia mafunzo ya mgambo
3. Asiwe amezidi miaka 40
Mahali pa kazi : Dar es salaam, Dodoma
Mwisho wa maombi ni 20/11/2012
...................................................................................................................................................................
CCTV OPERATOR (3)
1. Elimu isiyopungua kidato cha nne
2. Awe na ujuzi wa kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja
3. Asiwe amezidi miaka 35
Mahali pa kazi : Dar es salaam, Mbeya, Mtwara
Mwisho wa maombi ni 25/11/2012
...................................................................................................................................................................
No comments:
Post a Comment