Friday, November 16, 2012

Punguzo la bei katika huduma zetu



Katika kuelekea mwisho wa mwaka 2012,KIWANGO SECURITY tumetoa punguzo la bei katika huduma zetu kama Gate Security guard, Watch Dog na nyinginezo. Wasiliana nasi kwa maelezo zaid kwa namba :
+255 713 213060 , +255 715000550 au barua pepe :  info@kiwangosecurity.com / kiwangos@yahoo.com